Main Page

Kutoka Kiswahili ICANNWiki
Rukia: urambazaji, tafuta
Karibu ICANNWiki
"Inampa kila mtu sauti kwenye siku za usoni za mtandao."
Icons 101.png
Kianzilishi kwa ICANN
Icons gtlds.png
Majina ya Ngazi ya Juu
Icons governance.png
Utawala wa Mtandao
Icons tutorial.png
Mwongozo wa kuhariri Wiki
Kuhusu ICANNWiki
ICANNWiki ni shirika la kijamii ambalo limejitolea kusaidia ushirikiano wa jamii ya mtandao unaolenga kubuni makala ya ICANNwiki kuhusu ICANN na mijadala inayaohusiana na utawala wa mtandao.
Twitter2.png
FacebookLogo.jpg
Youtube.png
Newsletter-icon.png
Shukrani Maalum
Toa msaada kwa Malengo yetu:
ICANNLogo.png
AmazonLogo.jpg
Kiswahili ICANNWiki
ICANNWiki ni Jamii nambari moja yenye rasilmali ya maelezo – watu, vikundi, na mijadala yenye kuvutia ya ICANN na utawala wa mtandao. Kama mtandao wenyewe, hamna yeyote anayeandika au kuhariri kila kitu. Hiyo ni kazi chungu nzima isiyoweza kufanikishwa na mtu mmoja. Badala yake, ICANNWiki inanawiri sana kama ICANN – ushirikiano kutoka chini kwenda juu. Tunahitaji jamii kuongeza thamani kwa rasilmali hii. ICANNWiki inajivunia kushirikiana na kituo cha kuwawezesha vijana (Kenya), na chuo kikuu cha Dodoma (Tanzania), kwenye mradi anzilishi wa kutafsiri rasilmali hii muhimu kwenye lugha inayoenziwa sana Afrika mashariki - ya Kiswahili.
Video iliyohusishwa

Kuhusu ICANN

ICANN ni mshika dau mkuu ulimwenguni, shirika lisilo la kifaida ambalo linamudu rasilmali za mtandao kwa manufaa ya umma. Inajulikana kwa wadhifa wake kama mwendeshaji wa kiufundi wa mfumo wa majina mtandaoni (Domain Name System). Makao yake makuu ni Los Angeles, California, Marekani. ICANN ina vitovu Istanbul, Los Angeles, na Singapore. Pia ina afisi shirikishi Beijing, Brussels, Montevideo, Washington, na Nairobi.